Dodoma, Machi 2025 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), ameipa Bodi ya Chai Tanzania (TTB) muda wa siku 14 kuwasilisha taarifa kamili ya gharama za uzalishaji na uchakataji wa chai nchini, kwa lengo la kuweka msingi wa maboresho ya…
Dodoma, 10 Desemba 2024 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), leo amekutana na ujumbe maalum wa wawakilishi kutoka kampuni mbili mashuhuri za Japan—Nasa Corporation, inayojihusisha na utengenezaji wa mashine za kufungasha chai, na Kawasaki Kiko, inayobobea katika utengenezaji wa…