🗓️ 27 Agosti 2025

Leo nimebahatika kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega.
Naomba dua zenu katika safari hii ya kuwatumikia wananchi wa Nzega Mjini kwa moyo wa dhati na kwa maslahi ya maendeleo ya jimbo letu.
Allah abariki safari hii.
