Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana kwa mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara, Mhe. Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kafika Sekta ya Kilimo. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni…
Leo, nimehudhuria mkutano muhimu wa wadau wa kilimo Dodoma, katika Ukumbi wa Mabeho, ambapo tumekuja pamoja kujadili Sera ya Maendeleo ya Benki 2024 na Sera ya Taifa ya Bima 2024. Mkutano huu umegusia haja ya kuwa na sera za moja…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) leo Aprili 17, 2024 amekuwa geni rasmi kwenye ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Kujadili Mageuzi ya Sera za Mifumo ya Chakula, Uvuvi na Mitugo. Kongamano hilo la…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) yaliyopo eneo la Mazwi, Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa tarehe 16 Julai 2024. Katika ziara hiyo, Bw. Marwa Range,…
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mridoko amefungua Kongamano la Wadau wa Umwagiliaji na mnyororo mzima wa Sekta ya Kilimo tarehe 19 Julai 2024 katika skimu ya umwagiliaji ya Mwamkulu, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Ameeleza…
Morogoro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 4, 2024, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa upanuzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero-K4 wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani…
Sambamba na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB), Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo inayojengwa Mji wa Serikali Mkoani Dodoma, ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 16.…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana kwa mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara, Mhe. Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kafika Sekta ya Kilimo. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni…
Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo ameendelea na ziara yake ya kikazi na kukagua mradi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Usense, mkoani Katavi tarehe 20 Julai 2024 na kuongea na wanakijiji wanufaika wa mradi huo. Mradi wa…