Sababu za wana Nzega kumchagua Dkt Samia.

Sababu za wana Nzega kumchagua Dkt Samia.

Mgombea Ubunge wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametaja sababu tano zinazowafanya wananchi wa Tabora kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza kwenye…