Tanzania imeandika historia kwa kuwa mwenyeji wa Kilele cha Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani Afrika, uliofanyika tarehe 22 Februari 2025. Akiwahutubia viongozi na wadau wa sekta ya kahawa kutoka mataifa mbalimbali, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Tanzania imepata heshima kubwa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika (G-25 African Coffee Summit) unaotarajiwa kufanyika tarehe 21-22 Februari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu, ambao awali umefanyika nchini Kenya na Uganda, utahudhuriwa…