Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amezindua Tovuti ya Usajili kwa ajili ya Ushiriki wa Maonesho ya Nane Nane 2025 yatakayofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma tarehe 1 hadi 8 Agosti 2025. Mkutano huo na Wanahabari umefanyika tarehe 13 Juni 2025,…
Sambamba na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB), Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo inayojengwa Mji wa Serikali Mkoani Dodoma, ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 16.…