Dodoma, 10 Aprili 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank Tanzania) tarehe 28 Aprili 2025, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kufufua benki…
Minister for Agriculture, Hon. Hussein Bashe (MP) held a productive meeting with Chargé d’Affaires Andrew Lentz from the U.S. Embassy in Tanzania on April 8, 2025, in Dodoma. The discussion focused on strengthening bilateral cooperation in agriculture, with a shared…
Dodoma, Machi 2025 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), ameipa Bodi ya Chai Tanzania (TTB) muda wa siku 14 kuwasilisha taarifa kamili ya gharama za uzalishaji na uchakataji wa chai nchini, kwa lengo la kuweka msingi wa maboresho ya…
The Minister for Agriculture, Hon. Hussein Bashe (MP), has issued a strong call to action against the longstanding practice of discarding avocados deemed unfit for export without exploring alternative uses. Speaking at the First National Avocado Stakeholders Meeting held on…
The third G25 African Coffee Summit held in Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. We, the heads of the state and government of the 25 African coffee producing countries, convened for the third edition of the G25 African Coffee…
Tanzania imepata heshima kubwa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika (G-25 African Coffee Summit) unaotarajiwa kufanyika tarehe 21-22 Februari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu, ambao awali umefanyika nchini Kenya na Uganda, utahudhuriwa…
Morogoro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 4, 2024, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa upanuzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero-K4 wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani…
Sambamba na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB), Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo inayojengwa Mji wa Serikali Mkoani Dodoma, ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 16.…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana kwa mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara, Mhe. Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kafika Sekta ya Kilimo. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni…