Hotuba ya Uzinduzi wa benki ya ushirika.

Hotuba ya Uzinduzi wa benki ya ushirika.

Mheshimiwa Rais, mambo mengi umetoa maelekezo kuwa unataka matokeo, hutaki mambo mengine. Siwezi kurudi kwako kukwambia Mheshimiwa Rais nimekwama kwa sababu utaratibu ulikwama. Hili la Ushirika kuwa na benki katika taratibu za kawaida leo tusingekuwa na benki hii. Nawashukuru sana…