Salaam ndugu zangu, Ninatumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na baraka zake katika safari yangu ya utumishi. Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa aliyonionyesha katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi kama Naibu…
Dodoma 11 Novemba 2025 Mapema leo katika Viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, nimewasili rasmi na kula kiapo cha uaminifu kabla ya uzinduzi wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu. Katika tukio…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amebainisha kuwa kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa letu la Tanzania limefanikiwa kuuza nje ya nchi sukari tani 80,000, hatua inayoashiria mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi…
Tarehe 21/9/2025 Nzega Mjini imefurika maelfu ya wananchi waliokusanyika kumsikiliza mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Hussein Bashe, katika mkutano mkubwa wa kampeni uliojaa shamrashamra na hamasa kutoka makundi mbali mbali. Akiwahutubia wananchi wa Nzega Mjini Mhe, Bashe…
Mgombea Ubunge wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametaja sababu tano zinazowafanya wananchi wa Tabora kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza kwenye…
🗓️ 27 Agosti 2025 Leo nimebahatika kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega. Naomba dua zenu katika safari hii ya kuwatumikia wananchi wa Nzega Mjini…
On March 26, 2025, in Dodoma, the Minister for Agriculture, Hon. Hussein Bashe (MP), held a strategic meeting with a delegation from the African Development Bank Group (AfDB), led by Mr. Pascal Saginga. The discussions focused on key agricultural priorities,…
Leo, tarehe 25 Machi 2025, Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo, amekutana na Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) inayoongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Raymond Mndolwa, pamoja na Wahandisi wa Umwagiliaji kutoka mikoa mbalimbali, jijini Dodoma. Kikao hicho…