• Home
  • About
    • Meet Hon. Hussein Bashe
    • Learn about Nzega
    • About Sponsorship
  • Discover
    • Agriculture Reforms
    • Flagship programs
    • Publications
  • Media Reports
  • Habari
    • Habari za Jimbo
    • Habari za Wizara
  • Contact
Colored@4x
Edit Content

About Us

Hon. Hussein Mohammed Bashe: A Visionary Leader Rooted in Tanzania’s Progress

Let's Connect

Category: Government

 Waziri wa Kilimo Akutana na Wadau wa Chai kutoka Japan.
January 7, 2025 Development, Government

Waziri wa Kilimo Akutana na Wadau wa Chai kutoka Japan.

Dodoma, 10 Desemba 2024 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), leo amekutana na ujumbe maalum wa wawakilishi kutoka kampuni mbili mashuhuri za Japan—Nasa Corporation, inayojihusisha na utengenezaji wa mashine za kufungasha chai, na Kawasaki Kiko, inayobobea katika utengenezaji wa…

Continue
 Waziri Bashe Akutana na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza.
October 13, 2024 Development, Government

Waziri Bashe Akutana na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana kwa mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara, Mhe. Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kafika Sekta ya Kilimo. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni…

Continue
 Nimehudhuria mkutano muhimu wa wadau wa kilimo Dodoma
October 13, 2024 Development, Government

Nimehudhuria mkutano muhimu wa wadau wa kilimo Dodoma

Leo, nimehudhuria mkutano muhimu wa wadau wa kilimo Dodoma, katika Ukumbi wa Mabeho, ambapo tumekuja pamoja kujadili Sera ya Maendeleo ya Benki 2024 na Sera ya Taifa ya Bima 2024. Mkutano huu umegusia haja ya kuwa na sera za moja…

Continue
 Kongamano la Mwaka la Kujadili Mageuzi ya Sera za Mifumo ya Chakula, Uvuvi na Mifugo.
October 13, 2024 Government

Kongamano la Mwaka la Kujadili Mageuzi ya Sera za Mifumo ya Chakula, Uvuvi na Mifugo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) leo Aprili 17, 2024 amekuwa geni rasmi kwenye ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Kujadili Mageuzi ya Sera za Mifumo ya Chakula, Uvuvi na Mitugo. Kongamano hilo la…

Continue
 Kongamano la Wadau wa Umwagiliaji na mnyororo mzima wa Sekta ya Kilimo
October 13, 2024 Development, Government

Kongamano la Wadau wa Umwagiliaji na mnyororo mzima wa Sekta ya Kilimo

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mridoko amefungua Kongamano la Wadau wa Umwagiliaji na mnyororo mzima wa Sekta ya Kilimo tarehe 19 Julai 2024 katika skimu ya umwagiliaji ya Mwamkulu, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi.  Ameeleza…

Continue
 Rais Samia azindua mradi Kilombero.
October 13, 2024 Development, Government, Habari za Wizara

Rais Samia azindua mradi Kilombero.

Morogoro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 4, 2024, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa upanuzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero-K4 wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani…

Continue
 Mhe. Bashe akutana na mjumbe Uingereza.
October 13, 2024 Development, Government, Habari za Wizara

Mhe. Bashe akutana na mjumbe Uingereza.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana kwa mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara, Mhe. Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kafika Sekta ya Kilimo. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni…

Continue
  • 1
  • 2
  • 3
Recent Posts
  • Mauzo ya Sukari Nje Yaipatia Serikali Dola Milioni 72.
  • Bashe atoa ahadi nzito kwa wananchi wa Nzega.
  • Sababu za wana Nzega kumchagua Dkt Samia.
  • Safari Ya Kuendelea Kutumikia
  • Uzinduzi wa bodi mpya TOSCI
Categories
  • #G25Summit
  • Development
  • Government
  • Habari za Jimbo
  • Habari za Wizara
  • NANE NANE
  • Summit
  • ZIARA
Registering to Vote is the Basis for Good Elections
Learn more

Building A Better Tanzania

  • Office ya Mbunge info@husseinbashe.org
    P.O.Box 106
    Mtaa wa Humbi - Uzunguni
  • +255 766 010 666

Quicklinks

About
Gallery
News

Gallery

© 2025, Hussein Bashe. All Rights Reserved.

Meet Hon. Hussein Bashe
Contact