Mheshimiwa Rais, mambo mengi umetoa maelekezo kuwa unataka matokeo, hutaki mambo mengine. Siwezi kurudi kwako kukwambia Mheshimiwa Rais nimekwama kwa sababu utaratibu ulikwama. Hili la Ushirika kuwa na benki katika taratibu za kawaida leo tusingekuwa na benki hii. Nawashukuru sana…
Waziri wa Kilimo, Mhe, Hussein Bashe, ametangaza marufuku ya kuingiza nchini mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini, baada ya nchi hizo kushindwa kufungua masoko yao kwa bidhaa za kilimo kutoka Tanzania. Amesema hatua hiyo inalenga kulinda maslahi ya…
Minister for Agriculture, Hon. Hussein Bashe (MP) held a productive meeting with Chargé d’Affaires Andrew Lentz from the U.S. Embassy in Tanzania on April 8, 2025, in Dodoma. The discussion focused on strengthening bilateral cooperation in agriculture, with a shared…
Dodoma, Machi 2025 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), ameipa Bodi ya Chai Tanzania (TTB) muda wa siku 14 kuwasilisha taarifa kamili ya gharama za uzalishaji na uchakataji wa chai nchini, kwa lengo la kuweka msingi wa maboresho ya…
Ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, sekta ya kilimo imepiga hatua kubwa. Takwimu zinaonesha kuwa uzalishaji wa mazao ya chakula umeongezeka kutoka tani…
The third G25 African Coffee Summit held in Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. We, the heads of the state and government of the 25 African coffee producing countries, convened for the third edition of the G25 African Coffee…
Tanzania imeandika historia kwa kuwa mwenyeji wa Kilele cha Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani Afrika, uliofanyika tarehe 22 Februari 2025. Akiwahutubia viongozi na wadau wa sekta ya kahawa kutoka mataifa mbalimbali, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Roma, Italia, Tanzania imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya kilimo kupitia ushirikiano wa kimataifa, ambapo Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe, alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 48 wa…
Dodoma, 29 Januari 2025 – Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imekabidhi hundi ya Shilingi Bilioni 13 kwa Chama cha Ushirika cha Tobacco Cooperative Joint Enterprises Limited (TCJE) ili kugharamia ruzuku ya wakulima wa tumbaku nchini na kupunguza gharama za uzalishaji.…
🗓️ 17 Desemba 2024 Leo, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekutana na wadau wa tasnia ya mbegu kwa ajili ya kujadili changamoto zinazokabili sekta hiyo na kuimarisha mfumo rasmi wa usambazaji wa pembejeo za kilimo nchini. Katika kikao…