Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amebainisha kuwa kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa letu la Tanzania limefanikiwa kuuza nje ya nchi sukari tani 80,000, hatua inayoashiria mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi…
Dodoma, 22 Agosti 2025 – Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Mohamed Bashe (Mb), amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, huku akitoa maagizo mahsusi ya kuimarisha usimamizi…
Tarehe 28 Juni 2025 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,Viongozi wa Serikali mliopo,Mabibi na Mabwana, Napenda nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana hapa leo katika tukio hili muhimu la uzinduzi wa Kiwanda…
Meatu, 17 Juni 2025 – Serikali kupitia Wizara ya Kilimo inaendelea kuchukua hatua thabiti kuhakikisha kuwa wakulima wa pamba nchini wananufaika moja kwa moja na jasho lao, kwa kuweka mazingira wezeshi ya soko, thamani na bei. Akiwa pamoja na Mheshimiwa…
Simiyu, 16 Juni 2025 – Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein M. Bashe, ameweka msisitizo mkubwa katika mageuzi ya kilimo cha pamba nchini, baada ya kushiriki uzinduzi wa viwanda viwili vya kuchakata pamba na kutengeneza mabomba katika eneo la Salunda, Wilaya…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amezindua Tovuti ya Usajili kwa ajili ya Ushiriki wa Maonesho ya Nane Nane 2025 yatakayofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma tarehe 1 hadi 8 Agosti 2025. Mkutano huo na Wanahabari umefanyika tarehe 13 Juni 2025,…
Katika hatua kubwa ya kuimarisha ulinzi wa mazao na kuwalinda wakulima dhidi ya visumbufu shambani, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amepokea rasmi ndege maalum ya kilimo aina ya Thrush 510 P2 katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma. Ndege hiyo…
Dodoma: Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, (Mb) amesema kuwa Serikali kupitia Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) inaanza rasmi mchakato wa kusajili mbegu za asili ili ziweze kuingizwa sokoni na kuwapa wakulima uhuru wa kuchagua kati ya…
Dodoma, 12 Mei 2025 – Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), amekabidhi magari 38 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.2 pamoja na mitambo 7 ya uchimbaji visima kwa taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Kilimo. Lengo la makabidhiano…